Katiba bora zianzie kwenye vyama. Bila hilo haiwezekani kudai katiba bora ya nchi.Pamoja na fitina zote kwa Watanzania.Upinzani (mawazo mbadala) yapo mioyoni mwa watu. Tupate katiba bora yenye tume huru tuheshimiane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo hadi Wasukuma wenyewe wameshtuka,kuwa huyu sio huyu anaweza kuwa Mhutu.
Nguvu na siri kubwa kuipenda chadema ni matokeo ya sasa chafu za ccm
Sisi wazee wa slow poison hatuna haraka tunawasubiri tu waendelee kujitekenya na kucheka wenyeweHuwa nikisoma post zenu mnavyotiana mioyo huwa nacheka kimoyo moyo. Ni kama mitoto inagawana magari barabarani hili langu lile langu.
Hivi kwa akili yenu mnadhani JPM ndio mwepesi kushinda JK mliyemwita dhaifu? Anyway subirini 2020 october tuombe uzima wangu, wenu na wa JPM ndio mtajua ikiwa ni kweli Wasukuma wamemshtukia jamaa yao au Geita kwake ndio hawamataki...
Kumbe hali halisi ndio hii? Jana Geita Bawacha wakazuiwa kufanya sherehe ya siku yq wanawake na kulazimishwa kujiunga na wafanyayo ccm.
Picha halisi hapo juu inaonyesha wamama wa Chadema wanafuraha na maisha ndani ya chama chao kuliko wa ccm ambao ni kama vile wamemula kiporo cha baridi na kulazimishwa kuvaa manguo kijani na kuja kuiimbia ccm.
Sasa hiyo ndio picha kamili ya nguvu ya upinzani huko chini kama hiari INA achwa ichukue nafasi. Kumbukeni Geita ni nyumbani kwao nani.
Tukutane 2020 tukisha shinda kesi ya Wangwe ya kuwatema Wwkurugenzi kutumikia NEC
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ngoja nikuambie kitu kanda ya ziwa atashinda tena kwa kishindo kama huamini 2020 subiriKanda ya ziwa ana Kazi ngumu sana kupenya kama atarudishiwa kugombea 2020 alichowafanyia kwenye Samaki hawana hamu,Samaki ndo maisha ya Kanda ya ziwa wavuvi wanajua zaidi.Kupenya kihalali hawezi ni mwepesi anategemea kubebwa.
Huwa nikisoma post zenu mnavyotiana mioyo huwa nacheka kimoyo moyo. Ni kama mitoto inagawana magari barabarani hili langu lile langu.
Hivi kwa akili yenu mnadhani JPM ndio mwepesi kushinda JK mliyemwita dhaifu? Anyway subirini 2020 october tuombe uzima wangu, wenu na wa JPM ndio mtajua ikiwa ni kweli Wasukuma wamemshtukia jamaa yao au Geita kwake ndio hawamataki...