Ccm bila =lowasa e, aziz r, chenge a. Itafika..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm bila =lowasa e, aziz r, chenge a. Itafika..?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sinafungu, Apr 20, 2011.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Tumeshuhudia kujivua magamba kusiko kwenyewe, kama wanataka lakini kama hawawezi ama hawataki. CCM wanasukumwa na ukelele wa jamii hasa wanapokumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita wanapata HOFU YA KUTAMANI KUTENDA KULIKO DHAMIRA NDANI YA NAFSI ZAO, hivi ikitokea wamewatimua hao watu watatu CCM ITASIMAMA....?
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Hawana ubavu wa kuwatimua subirini tuone !
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Does Kikwete have the GUTS and moral authority to fire these guys? Akiwafukuza atakuwa amefanya dhambi ya ubaguzi na hatakuwa salama!!
   
Loading...