Domowazi JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 203 Reaction score 28 Feb 6, 2012 #1 Hivi ndugu wananchi wenzangu enbu nisaidien nani anatetesi zozote kuhusu atakaesimama kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015?
Hivi ndugu wananchi wenzangu enbu nisaidien nani anatetesi zozote kuhusu atakaesimama kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015?
K kuzou JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 200 Reaction score 57 Feb 6, 2012 #2 mkapa aau karume kama putin vile.
chuki JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,715 Reaction score 534 Feb 6, 2012 #3 Domowazi said: Hivi ndugu wananchi wenzangu enbu nisaidien nani anatetesi zozote kuhusu atakaesimama kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015? Click to expand... Chapuo wanapewa watu wawili. 1.WASIRA-hana kashfa na ni MZALENDO, uwezo kusimamia serikali. 2.SITTA-anapinga ufisadi na uwezo wa kukemea.
Domowazi said: Hivi ndugu wananchi wenzangu enbu nisaidien nani anatetesi zozote kuhusu atakaesimama kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015? Click to expand... Chapuo wanapewa watu wawili. 1.WASIRA-hana kashfa na ni MZALENDO, uwezo kusimamia serikali. 2.SITTA-anapinga ufisadi na uwezo wa kukemea.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,110 Reaction score 75,567 Feb 6, 2012 #4 Prince Ridhwan Kikwete.
Domowazi JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 203 Reaction score 28 Feb 6, 2012 Thread starter #5 Duu huyo prince Ridhiwan hata wana CCM cjui kama watamkubali..!