Hapa kata ya Themi tawi la Old Police Line nimewaona Ndarivoi na wenzake wanapokea fungu kutoka kwa wahindi ktk ofisi ya kata ya ccm nadhani ndo pesa ya kazi hii ya kiti cha udiwani kata ya Themi.
Yani hata wakigawa milioni moja kwa kila mpiga kura hapa arusha mjini viti vyote 5 chadema tunachukua ili mjue kuwa arusha hatutaki kabisa habari ya ccm.
Kula CCm, Kura CDM, shauri yenu sisiem mmeshafanywa mitaji ya watu. Hali inaonesha mnapigwa vibaya katika kata za Arusha. Bora wanunulieni makatibu kata wenu pikipiki hizo hela. Lakini wakati mwingine nasema pelekeni hizo pesa watu wafaidi maana wamenyonywa kwa muda mrefu
Kwi ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwani hayo ndiyo Mawazo Mapya ya Kinana ? Muulizeni hivi wakati Loliondo inauzwa ilikuwa mkoa gani vile ? Halafu ni nani alikuwa mkuu wa Mkoa Vile ? Ya Stan tuyaache kwanza .
Changamkieni hizo fedha na fanyeni kinacho? Kinachotakiwa kweli! Lah! Hakiamungu kweli yesu na maria sijui nirudi Arusha kwa muda aisee! Ndg yangu mushi nisipofanikiwa kuja msifanye mzaha aisee kumbukeni kura ni siri hamna noma yoyo! Yoyote kweli