CCM Arusha yagawa milion 42

CCM Arusha yagawa milion 42

gagonza

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2009
Posts
309
Reaction score
98
CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura.

Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.
 
Cmm Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura,chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa ccm.

Umechukua kiasi gani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Duh namimi nije basi kupata afu nigawe nusu kwa Makamanda,Yegella wapi iyo? Mi nipo Njiro
 
teh teh teh teh teh ndio hizo Mzee Tupa Tupa wa Lumumba VUTA NKUVUTE alisema haendi Arusha nini? Big Up mzee wa Lumumba.
 
Hiyo ni kodi yenu, tumedhurumiwa kwa miaka mingi sana, chukua ule,then geukia ukombozi...hii ndio habari ya mjini na vijijini.
 
hizi hela wanazitoaga wapi hawa?au ndo za pembe za ndovu toka kwa msomali kinana
 
Changamkieni hizo fedha na fanyeni kinacho? Kinachotakiwa kweli! Lah! Hakiamungu kweli yesu na maria sijui nirudi Arusha kwa muda aisee! Ndg yangu mushi nisipofanikiwa kuja msifanye mzaha aisee kumbukeni kura ni siri hamna noma yoyo! Yoyote kweli
 
Kodi zetu hizo jamani kama mmepata mgao walieni mpaka wakome ..wamewaona nyie malaya kuhongwa na kupewa vipesa?
 
njoo kata ya themi kamanda, mambo yanafanyika usiku kwa usiku.

Kuleni mshiko, Kama kawa si unajua makamanda mwendo wa kujitolea?. Tangu lini kura zinanunuliwa, hilo ni jasho la watanzania maskini. Kuleni Tick sehemu inayokusaidia kukuinua kimipango na sio mlo mmoja na kukuacha maskini. Tena wasisitize walambaji kuwa wakilamba hizo na wakitoa kwa Jembe na Nyundo wasilalamike watumie jembe na nyundo na wabaki na umasikini wasubiri tena awamu nyingine huku wakijiandaa kuvunwa ili deni la watu lirudishwe?
 
Ramba pesa CCM kura CDM

Hii naikubali?
wananchi wamedhoofishwa kimawazo,
Leo mwanagawiwa fulana na kanga wanasahau, ikifika kesho hawana hata pesa ya kununulia kipande cha sabuni cha kufulia hizo fulana na kanga, wanaanza kulaumu oooh hivi oooh vile? Wananchi lazima sasa waamke na kung'amua mbinu chafu za kifisadi.Elimu kwa wananchi hasa vijijini inahitajika sana. CDM punguzeni kuongea kwa jazba, muongee kwa pointi hasa za kuwaelimisha wananchi. Wananchi wakielewa huwa hawarudi nyuma. M4C should have a defined stragegy, milestones , Goal, Objectives and achievement measurement intruments.
Wananchi amkeni: " Furaha ya siku Moja haikupi nafuu ya Maisha yako yaliyobakia". BADILIKENI Msipokee kila mnachopewa kukidhi haja ya siku moja. Think for the Future!
 
Back
Top Bottom