CCM Arusha Mjini hali mbaya sana

CCM Arusha Mjini hali mbaya sana

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,204
Reaction score
37,555
Heshima kwenu wanajamvi.

Kuelekea uchaguzi mkuu hali ya siasa upande wa CCM Jiji la Arusha ni mbaya.Wameshindwa kufanya kampeni za maana,mikutano yao haina watu pamoja na kusomba watu kutoka kata nyingine lakini mikutano yao imezidi kupwaya kuliko kawaida.

Kampeni za mgimbea Ubunge Bwana Monaban ndio zimekwama kabisa,upande wa Udiwani sijui kama watapata diwani hata mmoja ndani ya Jiji la Arusha.Kata pekee waliyokuwa wakiitegemea n kata ya Kati ambayo sasa imeanza kugeuka mgmbea udiwani kata ya Kati Bwana Tojo kashindwa kuzindua kampeni zake anamsubiri Magufuli labda atamsaidia.

Machokora wanaolala uwanja wa Sheikh Amri Abeid ndio wamepewa kazi ya kuendesha kampeni za CCM Jijini Arusha.Wa,epewa fulana pamoja na matarumbeta ya plastic maarufu Vuvuzela wanapita kila mtaa wakipuliza mavuvuzele ambayo yanawakera watu kwakuwa yana sauti kubwa ukuichanganya na sauti za majenereta hasira zinazidi kuwaka kwa wakaazi wa Jiji la Arusha.

Kweli CCM imeishiwa hadi inawatumia machokora wasiokuwa na vitambulisho vya wapiga kura,wasiokuwa na makaazi maalumu,wasiokuwa na ajira,wasiokuwa na elimu ya kuchanganua mambo.Hii ndio CCM imechokwa kweli kweli wananchi wanataka mabadiliko CCM imeshindwa kubadilika mabadiliko yapo nje ya CCM.UKAWA ndio habari ya mjini.

Nawasilisha.
 
Kwani kuna ubaya machokoraa kufanya kampeni za CCM?
 
Uongo uongooo! Nijuavyo aliyeshindwa kuendelea na Kampeni ni lema. Kuhusu hiyo Kata ya kati huyo mnamuita simba hamnna kitu kabisa, Tojo atashinda mapemaa baada ya vituo kufunguliwa.
 
Acha uongo mkuu niko ars kikaz yan ccm ina hali mbaya sana hapa
 
CCM haina pumzi, Tarehe 25 Oct ndiyo tunakiondoa kile kipumulio cha bandia walichonacho sasa hivi. Kwa hiyo ccm ni marehemu tu
 
Hebu eteni habari zenye maana, Hiyo siyo habari.

Ni sawa na mtu aanzishe uzi aseme Mgombea wa chadema jimbo la Ludewa amejitoa, wakati unajua Ludewa chadema hawana nguvu.

Arusha na Moshi obvious Chadema watachukua, na mikoa mingine yote 23 ccm wanamalizia
 
Mgombea wa CCM Monduli yupo katika tafaari nzito either abaki CCM aangamie au ajiunge na UKAWA apone.
 
Ni rahisi kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kushinda Arusha.
 
Acha uongo mkuu niko ars kikaz yan ccm ina hali mbaya sana hapa

Acha uongo asee nko Arusha na lema anapga mzigo kama kawaida ila magamba ndo yameshindwa kabisa hata mikutano yao wanafanya sokoni ili waonekane wana watu alaf unatudanganya live dah
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Kuelekea uchaguzi mkuu hali ya siasa upande wa CCM Jiji la Arusha ni mbaya.Wameshindwa kufanya kampeni za maana,mikutano yao haina watu pamoja na kusomba watu kutoka kata nyingine lakini mikutano yao imezidi kupwaya kuliko kawaida.

Kampeni za mgimbea Ubunge Bwana Monaban ndio zimekwama kabisa,upande wa Udiwani sijui kama watapata diwani hata mmoja ndani ya Jiji la Arusha.Kata pekee waliyokuwa wakiitegemea n kata ya Kati ambayo sasa imeanza kugeuka mgmbea udiwani kata ya Kati Bwana Tojo kashindwa kuzindua kampeni zake anamsubiri Magufuli labda atamsaidia.

Machokora wanaolala uwanja wa Sheikh Amri Abeid ndio wamepewa kazi ya kuendesha kampeni za CCM Jijini Arusha.Wa,epewa fulana pamoja na matarumbeta ya plastic maarufu Vuvuzela wanapita kila mtaa wakipuliza mavuvuzele ambayo yanawakera watu kwakuwa yana sauti kubwa ukuichanganya na sauti za majenereta hasira zinazidi kuwaka kwa wakaazi wa Jiji la Arusha.

Kweli CCM imeishiwa hadi inawatumia machokora wasiokuwa na vitambulisho vya wapiga kura,wasiokuwa na makaazi maalumu,wasiokuwa na ajira,wasiokuwa na elimu ya kuchanganua mambo.Hii ndio CCM imechokwa kweli kweli wananchi wanataka mabadiliko CCM imeshindwa kubadilika mabadiliko yapo nje ya CCM.UKAWA ndio habari ya mjini.

Nawasilisha.

Duh!!!machokora!bangi,unga na gundi 24hrs kichwani.hii ni balaa.
 
Back
Top Bottom