CCM Arusha Kuvunja Chungu

ushirikina ndiyo njia pekee iliyobaki kwa magamba hasa baada ya wananchi kuondoa woga hivyo kuendelea kumpuuza Chagonja .
 
Uchawi hauna nafasi ndani ya CCM. Acha kuchafua chama chetu kijana!

Ndugu nakuheshimu sana, Ila naomba ufanye uchunguzi ukitaka nitakupa mpaka eneo husika ukapate taarifa halisi jinsi wananchi zaidi ya 500 walivyosumbuliwa na mzuka wa mheshimiwa mmoja alioutumia ktk uchaguzi 2010. Baada ya kukaliwa kikao na wanachama akaambiwa autoe mtaani la sivyo watamshughulikia wao, Baada ya kutoweka mndumba huo yeye amekuwa mgonjwa mpaka sasa. Kama unawajua wanakondoo wako utaweza kumtambua.
 

Duh..ngonyani a.k.a Deep Water vipi?nae zimegonga kwa CDM?Mrithi wa Sheikh Yahaya ahajachukua majukumu rasmi..angeenda Arusha km babake ili aanze onyesha majinn kila mnara, kila miti etc.
 
Basi huku Kata ya Elerai Tutakufa wakazi wa kata yote maana tulihongwa barabara ya Lami inayotoka Majengo ya chini hadi Sakina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…