F Firigisi Member Joined Feb 13, 2009 Posts 91 Reaction score 33 Oct 19, 2015 #1 Nguvu ya kijani na manjano
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,791 Oct 19, 2015 #2 Chama Cha MaGraphicDesigner CCM.
F Firigisi Member Joined Feb 13, 2009 Posts 91 Reaction score 33 Oct 20, 2015 Thread starter #3 Kizzy Wizzy said: Chama Cha MaGraphicDesigner CCM. Click to expand... Scott Thomas alikuwa graphic designer kwenye media team ya Obama wakati wa campaign , kuna tatizo!? Kampeni ni kujipanga, ki tekinolojia zaidi!
Kizzy Wizzy said: Chama Cha MaGraphicDesigner CCM. Click to expand... Scott Thomas alikuwa graphic designer kwenye media team ya Obama wakati wa campaign , kuna tatizo!? Kampeni ni kujipanga, ki tekinolojia zaidi!
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,791 Oct 20, 2015 #4 Firigisi said: Scott Thomas alikuwa graphic designer kwenye media team ya Obama wakati wa campaign , kuna tatizo!? Kampeni ni kujipanga, ki tekinolojia zaidi! Click to expand... Wamebase sana huko kuliko kwenye kuwatumikia wananchi...
Firigisi said: Scott Thomas alikuwa graphic designer kwenye media team ya Obama wakati wa campaign , kuna tatizo!? Kampeni ni kujipanga, ki tekinolojia zaidi! Click to expand... Wamebase sana huko kuliko kwenye kuwatumikia wananchi...
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,847 Reaction score 31,413 Oct 20, 2015 #5 Kizzy Wizzy said: Wamebase sana huko kuliko kwenye kuwatumikia wananchi... Click to expand... Mbowe,lema na Mnyika wamewatumikia wananchi?
Kizzy Wizzy said: Wamebase sana huko kuliko kwenye kuwatumikia wananchi... Click to expand... Mbowe,lema na Mnyika wamewatumikia wananchi?
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,791 Oct 20, 2015 #6 jingalao said: Mbowe,lema na Mnyika wamewatumikia wananchi? Click to expand... Kuendeleza kwao vita dhidi ya ufisadi na kuwawajibisha mafisadi ni mojawapo ya kuwatumikia wananchi..
jingalao said: Mbowe,lema na Mnyika wamewatumikia wananchi? Click to expand... Kuendeleza kwao vita dhidi ya ufisadi na kuwawajibisha mafisadi ni mojawapo ya kuwatumikia wananchi..
timetoloveyourself JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 206 Reaction score 206 Oct 20, 2015 #7 Kizzy Wizzy said: Kuendeleza kwao vita dhidi ya ufisadi na kuwawajibisha mafisadi ni mojawapo ya kuwatumikia wananchi.. Click to expand... Mafisadi ambao baada ya kuhamia chadema wamekuwa sio mafisadi tena? Yoyote anaitwa fisadi akiwa ccm akiwa ukawa mtakatifu. Kwa wanaoshtuka wameshagundua hila hizi.
Kizzy Wizzy said: Kuendeleza kwao vita dhidi ya ufisadi na kuwawajibisha mafisadi ni mojawapo ya kuwatumikia wananchi.. Click to expand... Mafisadi ambao baada ya kuhamia chadema wamekuwa sio mafisadi tena? Yoyote anaitwa fisadi akiwa ccm akiwa ukawa mtakatifu. Kwa wanaoshtuka wameshagundua hila hizi.