CCM A na CCM B, mkae mkao wa kuliweka Taifa kwanza!

CCM A na CCM B, mkae mkao wa kuliweka Taifa kwanza!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,120
Siasa za Tanzania zinabadilika kwa kasi ya kutisha.
Waliokuwa ndugu na marafiki sasa ni mahasimu wakubwa.

Natoa rai tu kama mtazania mwenye mapenzi mema na nchi hii.
CCM A na CCM B wanazijua fika siri za Taifa hili isijetokea mchele ukamwagwa mbele ya kuku wengi na Taifa likaangamia.
Ni ushauri tu.
 
Wale Wazee Tunawaheshimu Sana Ila Mmoja Ameamua Kutojiheshimu Sasa Kazi Ni kazi
 
Ratiba ya Lowassa ni...
Tar 26 October atakuwa Longido akichunga ng'ombe na mama oyoyoo
 
Back
Top Bottom