MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Nasema hivi, mtajikuta peke yenu kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2020. Labda mtabaki na wale watakaowasaidia kutumia mabavu kufanya siasa zenu kama ilivyozoeleleka kwenye chaguzi mbalimbali zilizopita.
Mmeshavuruga Upendo uliokuwepo kati yenu na makundi mbali mbali katika jamii kwa kigezo cha kutumbua majipu, waliowasaidia kwenye kampeni leo hii wamekua "mashetani" na sio marafiki wema tena. Watu wameumizwa sana kwa sababu ambazo zingeweza kuzuilika, wengine hata hawakua na hatia lakini wanajutia kwa mateso wanayotapapa.
Nayasema haya kwa hakika kabisa endapo upinzani 2020 wakaweka mtu mwenye mapenzi mema na watu, mtu wenye maneno matamu, mtu mwenye kauli za kuunganisha jamii badala ya kuzigawa na mwenye hofu ya Mungu basi nawaambieni Mungu awape uzima mfikie hiyo 2020 mkiwa wazima.
Watu wako katika wakati ngumu wa kimaisha sababu hawaijui, gharama za vyakula ziko juu sababu hawazijui ingawa inasemwa ni ukame lakini miaka kadhaa kumekua na ukame sana lakini hali haikuwahi kua ngumu kiasi hichi, hakuna mtu anayependa kulisikia jina la kiongozi anayetokana na CCM labda awe mnufaika na chama.
Baadhi ya watu wamedhalilishwa kwa kuitwa watumuaji na wauza Mdawa ya kulevya huku vipimo na upekuzi vikionesha hakuna dalili zozote za kutumua wala kuuza madawa ya kulevya bila kujali kua wana heshima zao na ni viongozi wa watu wengi.Leo wao wenyewe wanaingizwa gharama kubwa kujisafisha wenyewe mmbele ya macho ya umma kwa sababu tu kuna kiongizi flani kwa sababu zake azijyazo yeye alianrisha wakamatwe.Hi dhahma itawatafuna sana CCM na watajuta.
Siasa za dunia ya leo chini ya mwavuli wa demokrasia zinataka sayansi ya kuwaleta watu pamoja, kuwainua watu kwa kuwapa matumaini kutokana na kufifia kwa hali zao za kimaisha.Ubabe, kejeli,majigambo na ukosefu wa staha havikuwahi kuleta mafanikio chanya mbele za jamii na Mungu.
Umma umeshagundua kua mateso unayoyapata ni kutokana maamuzi yao ya kuwapa kura 2015, pengine maamuzi yangekua tofauti huenda tusingefikia katika hali tuliyonayo.Ni dhahiri kua umma umeshafahamu kua sehemu ndogo tu ya maamuzi yao inaweza kuwafanya kuishi kwa taabu nyingi.