Chama Cha Kijamii
Member
- Jan 29, 2012
- 39
- 38
tunachokitaka hapa arusha ni siasa za kistaarabu na kampeni tulivu,malumbano hapa hayana nafasi make chadema washatuchosha na maandamano ya kutwa mara tatu!
tumeichoka cdm,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa cdm,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? Nini hii?? Afadhali cck ije arusha
simple minded as always.tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha
CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.
tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha
CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.