Mm nna tatzo mkuu kila sehem nkienda pima miwani tatzo langu kubwa sana hadi lensi zina gomaMkuu ww hujui unachokiongea, nimeenda eye clinics za kitaa mara baada ya kutoka ccbrt na nikaambiwa vipimo vyao ni 15k na lens inategemeana na aina ya lens, nikawatajia yangu, wakanambia 30k frame zipo 40k-90k,sasa cjui maana yako
NB; Nimeenda eye clinics tatu na zote majibu hayapishani na nilichokiandi saana iwe kwa kupungua au kuongezeka
Kwenye hii picha yako kiongozi naona kama lens zinautofauti kidogo.. Sio za aina moja zote.. Angalizo sio Daktari ila number zako zinatifauti..
unanijuaje hahhagenius baraka
Njoo huku uje kutolea ufafanuzi mzuri juu ya jambo hili
Mkubwa vipimo vya macho hapo Agakhan ni gharama gani mkuuMimi yakwangu iliyovunjika now, niliichukua aga khan mwanza kwa sh 75 nikiwa na lens x, baadae nikaenda kubadili lens ilikuw sh 40k na ilikuw na magnification ya 0.75