mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
- Thread starter
-
- #21
Mkuu we wawapi yan hujawahi kuugua macho that's why. Reception tuu kwenye hizo screen unazosema ww, unalipia elf 25, eb niambie ni Hospital gani ulienda na reception ukalipa that amount? Kama hujanitajia hindu aar na aga khanUmeanza vizuuuri mwisho unaleta ubahili hapa! Kuonekana kwenye hizo screen ulijua bureeee?
Awapi gharama za miwani huwa ni tofaut na gharama za hosipitali[emoji2] [emoji2] [emoji2] , gharama zimejumlishwa.
Sawa mkuu, ila nilikuwa nacomment kwa huyo aliyesema kuwa watakuwa wamejumlisha na gharama za huduma ya wewe kuonekana kwenye screen.Awapi gharama za miwani huwa ni tofaut na gharama za hosipitali
Sawa!tatizo umeanza kwa kuwasifia.mbona kuna sehemu nyingi tu utapata miwani bei Chee? Hiyo ni private tu lazima bei iwe juu.ila sio mbaya umetalii.tafuta sehemu nafuu bosiMkuu we wawapi yan hujawahi kuugua macho that's why. Reception tuu kwenye hizo screen unazosema ww, unalipia elf 25, eb niambie ni Hospital gani ulienda na reception ukalipa that amount? Kama hujanitajia hindu aar na aga khan
Ukisema private. Mimi miwani yangu nilichukulia aga khan mwanza na haikuwa bei kama hiyo. Niliwah badilisha na nkapewa lens ya 40k,thus ukijumlisha flem ya 40k nzur tu inakuwa 80k,japokuwa mimi nilibadili lens pekee.Sawa!tatizo umeanza kwa kuwasifia.mbona kuna sehemu nyingi tu utapata miwani bei Chee? Hiyo ni private tu lazima bei iwe juu.ila sio mbaya umetalii.tafuta sehemu nafuu bosi
Mbavu zanguuu...... [emoji120]. Nafwaaa,Sawa mkuu, ila nilikuwa nacomment kwa huyo aliyesema kuwa watakuwa wamejumlisha na gharama za huduma ya wewe kuonekana kwenye screen.
Itakuwa hajaelewa ndo maana kacomment hivyo.Mbavu zanguuu...... [emoji120]. Nafwaaa,
Mkuu kwenye screen ni namba yako inaonekana ya kwenda either kumuona daktari au kwenda reception
[emoji2] [emoji2] itakuwa hakuelewa, ndio maana nimemquote.Mbavu zanguuu...... [emoji120]. Nafwaaa,
Mkuu kwenye screen ni namba yako inaonekana ya kwenda either kumuona daktari au kwenda reception
Basi sawa,suruali ya elfu 20 kuna duka lingine ukienda utaambiwe elfu50.hivyo sishangai.kilalaheri utapata ningineUkisema private. Mimi miwani yangu nilichukulia aga khan mwanza na haikuwa bei kama hiyo. Niliwah badilisha na nkapewa lens ya 40k,thus ukijumlisha flem ya 40k nzur tu inakuwa 80k,japokuwa mimi nilibadili lens pekee.
Kuwa serious ww yani unashangaa iyo bei pamoja na framePrescription ni hiyo sasa nataka nifahamu wataalamu kama ni sawa iyo bei niliyoambiwa
Ivi umesoma uzi, yani bila frame (lenses pekeyake) ni sh 90k ila na frame ni sh 130k na siyo frame kama ya jk au jpm. Ni zakawaida ambazo azina bei kubwa kiasi hicho. Sasa ndomaana nika uliza (sishangai kama bichwa lako linavyokutuma mkuu) and i can afford it lakini je vipi kwa wale wasioweza kumudu?, na kuna ukweli au uhalali wowote wa lens kuuzwa 90k?hiyo lens ina nini? Ndomaana nikauliza na nikaweka na prescription niliyopewa labda nijue lens za aina hiyo znaendana na bei tajwa, simply like that.Kuwa serious ww yani unashangaa iyo bei pamoja na frame
Utani uo
Nimekuelewa ila nakushangaa unaona ajabu bei ya kawaida sana iyoIvi umesoma uzi, yani bila frame (lenses pekeyake) ni sh 90k ila na frame ni sh 130k na siyo frame kama ya jk au jpm. Ni zakawaida ambazo azina bei kubwa kiasi hicho. Sasa ndomaana nika uliza (sishangai kama bichwa lako linavyokutuma mkuu) and i can afford it lakini je vipi kwa wale wasioweza kumudu?, na kuna ukweli au uhalali wowote wa lens kuuzwa 90k?hiyo lens ina nini? Ndomaana nikauliza na nikaweka na prescription niliyopewa labda nijue lens za aina hiyo znaendana na bei tajwa, simply like that.
TnxJaribu kwenda pale International Eye Hospital Morocco, wapelekee hivo vipimo watakutajia bei ya lens, frame utachagua kutokana na uwezo wako.
Mkuu ww hujui unachokiongea, nimeenda eye clinics za kitaa mara baada ya kutoka ccbrt na nikaambiwa vipimo vyao ni 15k na lens inategemeana na aina ya lens, nikawatajia yangu, wakanambia 30k frame zipo 40k-90k,sasa cjui maana yakoNimekuelewa ila nakushangaa unaona ajabu bei ya kawaida sana iyo
Nenda optometry za kitaa kama utaona utofauti
Nashukuru MkuMimi yakwangu iliyovunjika now, niliichukua aga khan mwanza kwa sh 75 nikiwa na lens x, baadae nikaenda kubadili lens ilikuw sh 40k na ilikuw na magnification ya 0.75
Kwa dar sifahamu be maana nimeulizia tuu leo so ngoja wajeNashukuru Mku