mwambieni na lowassa asome alama za nyakati,kibali cha kumvua gamba NEC walishakitoa kwa CC siku ile alipokuwa akililia kwenye NEC kwamba mwenyekiti bila mzee mkapa hata wewe usingekuwako hapo,yale yalikua ni maneno ya mfa maji kwa kuwa alijua NEC ambako aliwekeza sana watagoma kutoa kibali,sasa baada ya kuona NEC wamebariki suala lao kuvuliwa gamba liende cc akajua yametimia,mtu mzima yule anaona mbali kuliko wapambe wake humu.
Kurudi kwa malema,yule kijana alijijengea kahimaya kake ndani ya chama ambako kalipambana sana kumfikisha Jz Jacob Zuma pale alipo,kijana nae kama lowassa na genge lake akaanza kujiona mkubwa kuliko chama,anaweza kufanya lolote kwa kuwa mwenyekiti amewekwa pale na genge lake,kijana akaanza kutamani kumn'goa mwenyekiti ili akae yeye au amuweke mtu "wake",mwenyekiti akasema eboo huu utakua ujinga na siku zote mtu anakuwa mjinga wakati wa kwenda lakini wakati wa kurudi anajua pabaya na pazuri wapi na yeye apite wapi,ndio yamemkuta yaliyomkuta mabyo pia yatamkuta lowassa.
Mzee wangu Lowassa soma alama za nyakati.