CC. oyeeeeee

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Mvuvi mmoja karudi kwake na samaki mkubwa aina ya chewa(anaishi kwa muda nchi kavu) akamwabia mkewe afanye haraka wamkaange ana njaa, mke akamjibu mafuta dukani yamepanda bei, akamwambia mbanike kwenye oven, akajibu umeme umekatika, akamwambia mchome basi na mkaa, akajibu mkaa aghali hatujanunua. Mvuvi akamchukua yule samaki mpaka baharini na kumrusha kule, yule samaki kuingia tu baharini akatoa kichwa akasema:"CCM OYEEEEEEEEEEEEE":flock:akapotea.
 
Angemuuza samaki then apate hela ya kununulia mkaa,kama watu wanavyouza gari kununua tairi,teh teh teh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…