CBG Piteni hapa

CBG Piteni hapa

Kiminyio 01

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
1,399
Reaction score
2,035
habarini wana jamvi mdogo wangu anaufaulu wa Chemistry {c} Biology{C} na geography{C} je kozi ipi ya afya anaweza kusomea katika kada ya afya kwa level ya certificate. na ajira yake ikoje?
 
Tunasema msome pcb mnasema phy ngumu, mtu kama huyu asinge kosa walau D ya phy!!

Anyways, md na pham ni ngumu, ajaribu unesi na ukunga.

Ikishindikana na kama ana kichwa chepesi mwambie akasome veterinary medicine ya SUA.

Nadhan hii ndio the best option kwa cbg kwenye ajira na kujiajiri.
 
physics ana D lakini PCB aiwezekani TCU wanamtolea nje
 
Hayo matokeo ni kidato cha ngapi kwanza maana mnatupa kazi kuwapa ushauri wakati hamtoi taarifa zinazojitosheleza.. kama ni kidato cha nne akasome Pharmacy DIPLOMA anasoma bila shida kabisa wameondoa physics
 
Phamacy anaenda diploma hata CO
habarini wana jamvi mdogo wangu anaufaulu wa Chemistry {c} Biology{C} na geography{C} je kozi ipi ya afya anaweza kusomea katika kada ya afya kwa level ya certificate. na ajira yake ikoje?
 
Haiko mbaya iko vizur sana sema akiwa mjanja now dayz elimu imekuwa na competition so akimaliza diploma akifaulu vizur ajiendeleze akiwa na degree at least anaweza kuwa na kitu huwa wana mwaka wa internship na wanalipwa so anaweza kujipanga vizur na akimaliza intern akiwa anangoja ajira anaweza tumia chet chake kujipatia ugali
kuhusu soko la ajira kwa pharmacy?lipoje
 
Tunasema msome pcb mnasema phy ngumu, mtu kama huyu asinge kosa walau D ya phy!!

Anyways, md na pham ni ngumu, ajaribu unesi na ukunga.

Ikishindikana na kama ana kichwa chepesi mwambie akasome veterinary medicine ya SUA.

Nadhan hii ndio the best option kwa cbg kwenye ajira na kujiajiri.
Hata unesi na ukunga CBG hasomi
 
habarini wana jamvi mdogo wangu anaufaulu wa Chemistry {c} Biology{C} na geography{C} je kozi ipi ya afya anaweza kusomea katika kada ya afya kwa level ya certificate. na ajira yake ikoje?
Acha kuwaza ajira za kuajiriwa kwasababu sio watu wote wataajiriwa. Kumbuka kuna Wasomi wengi mitaani hawana ajira. Miaka michache nyuma ualimu ilionekana kuwa na ajira nyingi Ila sasahivi hakuna ajir a. Mfundishe mdogo wako kujitegemea bila ajira ya serikalini au mashirika .
 
Naam sahihi
 
physics ana D lakini PCB aiwezekani TCU wanamtolea nje
Siku nyingine unapo andika andika habari iliyo kamilika sio unaandika tu kama unakimbizwa. Sisi tunajua na form6 kumbe form 4, toa maelezo yaliyo kamilika acha uvivu.

Huo ushauri nilio kupa hapo juu ni kwa mtu wa form6 na sio form4.
 
Dip in pharmacy anasoma bila shida huyu, matokeo yanambeba.
 
Back
Top Bottom