Labda kama ni harvard..ila vyuo vya bei simple tu mbona vipohahahaha mambo ya kudaiwa mill. 800 na bodi ya mikopo baada ya kuhitimu
ila inawezekana ngoja wajuvi waje
Kwani kuna uwezekano akapewa mkopo na heslb akiwa. Anasoma nje ya nchi?hahahaha mambo ya kudaiwa mill. 800 na bodi ya mikopo baada ya kuhitimu
ila inawezekana ngoja wajuvi waje
Ada hiyo NI kwa mwaka mkuu?Aombe chuo Russia au China kule atafanya pre med ndio aanze bachelor sasa...ada $5000 nauli $ 700 pesa ya kuishi hostel na kila kitu kwa mwaka ni $ 2400 ,rate ya dolar kwa shilingi kwa sasa ji tsh 2273 kwa dola 1 unaweza kokotoa
Kwa mwaka mmoja tu iyo buda ni kama tsh 11MAda hiyo NI kwa mwaka mkuu?
Labda kama ni harvard..ila vyuo vya bei simple tu mbona vipo
Mbona kila mtu anayekuja kuomba ushauri anasema rafiki yangu,mdogo wangu n.k.......mnaogopa nini kusema nyie ndo mnaomba ushauri?Wakuu naomba kuuliza je MTU aliyesoma cbg anaweza kupata scholarship kusomea udaktari nje ya nchi kuna rafiki yangu kamaliza six ana div I-9 chem-c, bio-c ,geo-c, anataka Ku apply vyuo vya nje kama Kuna uwezekano mnijuze na kama unavifahamu na vyuo vyenyew naomba mnitajie Naomba kuwasilisha
Owk lakini kuna uwezekano wa kupata ufadhili?Kwa mwaka mmoja tu iyo buda ni kama tsh 11M
Apo sifaham kijana,mara nyingi hua ni kujitegemeaOwk lakini kuna uwezekano wa kupata ufadhili?
Anyone can be anything so he can fight to make his dream came trueMnalazimisha mambo, kwani lazima uwe dakatari?
Unaenda soma kwa gharama ukirudi unakalia benchi
Kabisa yani maana msuli wa cbg mungu anajua shida NI kwamba wazir kasoma àrts ndo mana anafanya visa laiti angeingia science angeelewa tunamaanisha niniHivi kwa nini kama nchi tusiamue kuwasomesha wote waliofaulu CBG na PCB tukapata madaktari wengi sana? Ikawa hata miaka mitano mfululizo......maana zamani CBG walikuwa wanasoma udaktari?
Anaweza kusoma nje lakini cheti chake hakitatambuliwa hapa nchini maana kwa vigezo vyetu ni mpakaWakuu naomba kuuliza je MTU aliyesoma cbg anaweza kupata scholarship kusomea udaktari nje ya nchi kuna rafiki yangu kamaliza six ana div I-9 chem-c, bio-c ,geo-c, anataka Ku apply vyuo vya nje kama Kuna uwezekano mnijuze na kama unavifahamu na vyuo vyenyew naomba mnitajie Naomba kuwasilisha
Nje ya nchi anaweza kupata chuo, lakini cheti chake hakitakubaliwa nchini maana hajafikisha vigezo vya TCU!Vinginevyo atafute kazi huko nje pia!Wakuu naomba kuuliza je MTU aliyesoma cbg anaweza kupata scholarship kusomea udaktari nje ya nchi kuna rafiki yangu kamaliza six ana div I-9 chem-c, bio-c ,geo-c, anataka Ku apply vyuo vya nje kama Kuna uwezekano mnijuze na kama unavifahamu na vyuo vyenyew naomba mnitajie Naomba kuwasilisha
Asante mkuuAnaweza kusoma nje lakini cheti chake hakitatambuliwa hapa nchini maana kwa vigezo vyetu ni mpaka
Nje ya nchi anaweza kupata chuo, lakini cheti chake hakitakubaliwa nchini maana hajafikisha vigezo vya TCU!Vinginevyo atafute kazi huko nje pia!
Udaktari atasoma. Lakini kozi za miaka mingi huwa Scholarships zake ni ngumu ( ni kama hakuna ).Wakuu naomba kuuliza je MTU aliyesoma cbg anaweza kupata scholarship kusomea udaktari nje ya nchi kuna rafiki yangu kamaliza six ana div I-9 chem-c, bio-c ,geo-c, anataka Ku apply vyuo vya nje kama Kuna uwezekano mnijuze na kama unavifahamu na vyuo vyenyew naomba mnitajie Naomba kuwasilisha