Angalia juu na chini,A level mengi yanatokea na sometime mtu anashindwa kupata division one au two hivyo inambid kuanzia diploma lazima ujue hilo,soma CBG ukiwa na matokeo ya chini vyuo viko vya serikali unaweza enda soma kilimo,ualimu na hata mifugo ila kwa egm hakuna kitu kama hicho kingine hapa wengi watabisha ila watoto wa masikini kwenye kazi tuna shida sana soma ambacho utapata kazi ya serikali ili ujipange vizur au si hata kama ya serikali basi uwanja wa ajira uwe mpana kwako kwa hili nenda CBG maana utakua unahesabika ni mtu wa science ambapo ukienda chuo ukasoma kozi za science ajira azisumbui,nina watu wamemaliza procurement mwaka wa 3 huu wanasaka ajira,wangu huu ni ushauri kwako