CBE-DSM kwa fukuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CBE-DSM kwa fukuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHWADURUOKU, Oct 27, 2011.

 1. C

  CHWADURUOKU New Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mgomo umetokea katika chuo cha elimu ya biashara-DSM campus.Wanafunzi wamegoma kuingia madarasan wakidai
  • ungozi mpya unaokidhi matakwa ya NACTE.Awali alikuwepo dr Lugoe aliyehamishiwa wizaran(Viwanda) kupisha uchunguzi.kwa sasa kuna kaimu Mr Ahmed ambaye ameshindwa kuongoza chuo.
  • mass failure kwa bachelor degree mwaka wa pili somo la Coperate finance.
  Hata hivyo,walimu nao walikuwa na mpango wa kugoma ili kushinikiza kuondolewa kwa kaimu Mkurugenzi wa masomo Dr Kipilimba.Madai yao yalikuwa kwamba, Dr kipilimba

  1. hajaonyesha chet cha PHD takriban miaka 2 na anaendelea kupata mshahara wa assistant Lecturer badala ya Lecturer.Aidha hata thesis title haionekani aliposoma
  2. Anaendesha ofisi kwa majungu,ukabila,ukanda na uswahiba
  3. nyumba aliyopewa ya chuo(osterbay) kapangisha.
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duh, kazi zitafanyika, dodoma nao nasikia wamaanda migomo walim., chuo cha utumishi nao wamegoma, kazi kweli kweli
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  katika zoooote hizo, sijaona sababu ya msingi ya kugoma. hao watoto wana lao jambo tu inawezekana hasira za kukosa boom wanazihamishia hapo kwenye mgomo
   
 4. tembaisdor

  tembaisdor Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Chuo cha utumishi wamegoma? Wapi magogoni?
   
Loading...