M Moise Aimar JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 687 Reaction score 1,117 Feb 26, 2013 #1 Wadau Bank ya CBA walitangaza kazi mwezi wa kwanza any idea kuhusu interview wameshaita watu?
king khalfan Member Joined Feb 5, 2013 Posts 70 Reaction score 21 Feb 26, 2013 #2 Mwanajf hata mm niliapply lkn naona kimya ss cjui tujipe hope kwamba ni bado au tu-give up kuwa tyr walishaita ktk interview! Anyway tuwe na sbr! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mwanajf hata mm niliapply lkn naona kimya ss cjui tujipe hope kwamba ni bado au tu-give up kuwa tyr walishaita ktk interview! Anyway tuwe na sbr! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums