caution

hapo ukikanyaga hilo ganda utatapika ubongo au bora uliokote tuu!
 
kama hamna dustbin uokote uiweke wapi sasa bora kuisogeza pembeni unapita zako
 
Huyo aliyeweka hiyo Caution mbona yeye hakuliokota hilo ganda la ndizi?! Badala yake amejipa kazi ya kuweka hiyo "Caution"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…