Okay, wakati unasubiri wadau kuja kwenye uziapo,nikushauri kama una mtu Kigoma akusaidie kucheck kwa watengenezaji sabuni wa kule maana Kigoma nadhani ndo mabingwa wa kutengeneza sabuni Tz kwa mazingira ya jamii na uzuri ni jirani na Tabora hata kama watakuwa wanatoa Burundi (Wanaweza wakampa chimbo huwa wananunulia wapi, ningekuwepo Mwanza ningecheck maana I guess hata Kigoma wanachukulia Mwanza ila sina uhakika)