Alright hommie Mentor.... Catherine popote pale ulipo, go that way without...Babu Asprin tafadhali tafadhali usinifanye nikuimbie wimbo wa "Sheila"
sheila, Sheila, nionee huruma
kwani moyo unaniuma
wengi wapo, wanakupenda (Yummy, cacico, sweetlady, Mamndenyi, princess enny, Roulette, et al)
niachie huyu ( Catherine), ananipenda
Sheilaaaaa...ooh Sheilaaaaah....... (penye Sheila weka Asprin.)
shem Kaizer, na wewe unamuunga mkono?? ngoja nimbip dada AshaDii.
Pyeeeeee Yummy...chezeiya mentor wewe!!! uninyimacho wewe nakipata kwa my one n only Catherine!!!
Kwanza ata sijui umeibukia wapi wewe..umetumwa na Meritta nini!??
Bado asee... tatizo haka kachapombe sana afu mapepe..... Si unakaona hapo kako na washkaji zake? Umewajua ni kina nani?OOhh...we enny, ushakaguliwa na babu!?? (babu..has she been to u for ukaguzi!??)
Pamoko mkubwa..nimekupata kwa nguvu ya tano!!!
Babu Asprin tafadhali tafadhali usinifanye nikuimbie wimbo wa "Sheila"
sheila, Sheila, nionee huruma
kwani moyo unaniuma
wengi wapo, wanakupenda (@yummy, cacico, sweetlady, Mamndenyi, princess enny, Roulette, et al)
niachie huyu ( Catherine), ananipenda
Sheilaaaaa...ooh Sheilaaaaah....... (penye Sheila weka Asprin.)
shem Kaizer, na wewe unamuunga mkono?? ngoja nimbip dada AshaDii.
Pyeeeeee Yummy...chezeiya mentor wewe!!! uninyimacho wewe nakipata kwa my one n only Catherine!!!
Kwanza ata sijui umeibukia wapi wewe..umetumwa na Meritta nini!??
sijambo mama, naona haya mapenzi yashanishinda. Bora niendelee kutafuta raw materials nimuumbe wangu wa peke yangu.
mi saivi nawatazama tuu mana kama kazi nimefanya kubwa tuu
Hahahahaaaaaaaaaaaa.......mi iko penda weye sana tu,achana na hiyo mizoga mazee.
Mammiy hebu mbona hapa sielewielewi kinacho?
Naona mtu anaelewa mara haelewi !
Huny kumbuka tunatumia Heneji (energy) kurap! Then inakua iendee - irejee!
sijambo mama, naona haya mapenzi yashanishinda. Bora niendelee kutafuta raw materials nimuumbe wangu wa peke yangu.
Mammiy hebu mbona hapa sielewielewi kinacho?
Naona mtu anaelewa mara haelewi !
Huny kumbuka tunatumia Heneji (energy) kurap! Then inakua iendee - irejee!
yaani shem, ndoa ndio kwanza changaa nishamfumania Mentor na kitaulo nyumba ya jirani. Uwiii! Hapa sijui niombe talaka!
I zip up my mouth sealedMi
Nshasema
Miluzi
Mingi humpoteza mbwa
My wi huoni hapo juu kaka yako anamwita yummy kwa PM tena anadai anampenda sana. Mi nishapata headache, ngoja nipumzike ila mwambie mentor aje this way tueleweshane hapo.