masanjamkandamizaji
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 171
- 72
Hahaha masanja kwani si hua unawaaombeaga au??
Bwana nilikuaga na mtoto moya mkare atare ila ana athma bwana miaka miwil hakunambia ila siku ila kuna best yake ndo kaniambiaga ukwel nilidata,
hahaaaaaaa.. nimecheka sana aisee. we masanjamkandamizaji hujapona wewe
Mimebakia kucheka tu japo c vzr
No body who is perfect kila mtu anakasoro yake tatzo binadamu huwa tunaona kasoro ya mwenzio ni kubwa kuliko yako, na hii iko hasa kwa hawa wanaojiita na kujiona wazuri maana mimi naamini wote ni wazuri ila utofaut tu ni katika matumizi ya huo uzuri, huwa wanajiona wamekamilika hasa wakiona wanaume wanakodolea macho na kujiona malaika na wengi wao kasoro zao zinahitaj uvumilivu wa hali ya juu, sasa wakiona kasoro zao zimegundulika wanakosa confidence pamoja na kasoro zao na wanakuwaga warahisi mno kwa kukosa kujiamini tofauti na wanaoonekana wabaya wana misimamo pamoja na ubaya wao
Kwa hiyo hakuna kizuri kisicho ila,lakini wengine mbona wazuri na hawana tatizo au wanakua vikojozi manake mengine hayaonekani....na husikii jamaa akilalamika au huyo jamaa amefunzwa mkoleni?
Hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro, unaweza kuwa na muonekano mzuri wa nje kila mtu akachachawa lakin kumbe ndan una madhaifu makubwa ambayo laiti kama yangejulikana wengi wangekuwa wanakuangalia kwa mbali, Mungu alivyokuwa anaumba kila mmoja alimuumbia mtu wa kufucha madhaifu yake ndo maana akasema atakutafutia wa kufanana na wewe maana yake sio kama unajicho chongo basi upate mwenye jicho chongo kama wewe la hasha upate atakaye kusitiri na huo ujicho chongo usionekane. AsanteKwa hiyo hakuna kizuri kisicho ila,lakini wengine mbona wazuri na hawana tatizo au wanakua vikojozi manake mengine hayaonekani....na husikii jamaa akilalamika au huyo jamaa amefunzwa mkoleni?
You are welcomeNingesema nimchague nan! Katka maswala ya kimapenz bas ningeanza na nawewe .
Salut xana mkuu.