Catch me if you can boy

One of my weakness ni aibu, hapa nshaanza kuona aibu looh. Watu wote wananitazama wewe ukiwa unanipenda mi naona aibu... (talking in a kid tone with fingers on mouth eyesy down)

No prob rafiki, just love me but don't steal me looh.
Ahaaa ndo maana umekata vijiti kibao na kuchora chora chini na kidole gumba cha mguu! anyway count me has we chat!from now!
 
madam Kasinde yule frank mliyesoma nae akakuokoa mikononi mwa manjemba ukiwa club then akakuweka ndani miezi mitatu bado uko nae????
 
Last edited by a moderator:
madam Kasinde yule frank mliyesoma nae akakuokoa mikononi mwa manjemba ukiwa club then akakuweka ndani miezi mitatu bado uko nae????

Mie ndo maana nimesema nimeshashindikana hata familia yangu imenishindwa na kunyoosha mikono. That guy was Sam, nilimwambia politely, show fupi fupi waweza kupiga ila nikiwa soba la kukaa ndani as a wife material nimeshindwa. Hivo nilimkimbia tena japo aliumia nami nikamwambia nikiendelea kukaa hapa nitakuumiza zaidi pls love someone else, hakunijibu mie nikasepa, though tunawasiliana hapa na pale, he takes it kuwa Kasie ameshindikana.
 

Hope likufundisha na kugegeda wenzio
 
@kasinde kama sio...ningekukimbiza na mimi!!!
 
Am happy and enjoying the kind of life am living, you don't have to worry about Kasie, she is enjoying life. I know you can't catch me though.

Mara nyingi haya huwa ni maneno ya mfa maji.......naona umetendwa vya kutosha sasa umeamua ku-move on...ingawa siyo rahisi
 
Mara nyingi haya huwa ni maneno ya mfa maji.......naona umetendwa vya kutosha sasa umeamua ku-move on...ingawa siyo rahisi

Waaacha weeh, umejitahidi lakini kuchambua habari tajwa japo umenoa.
 
Una bahati sina gari

The way nilivo mbishi, tunaweza anzia hapo hapo mwanzo wa Ali Hassan Mwinyi road tufanye jogging hadi mbuyuni na kurudi, still najua huwezi kunikamata.
 
Kujielewa kifikra ni muhim xana kuliko kujisifia kusiko na maana....kwanza umekula??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…