U Ubwabwa Mtamu Member Joined Oct 26, 2021 Posts 9 Reaction score 6 Dec 20, 2021 #61 Karibu kitaa mchizi wangu Castro
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,302 Reaction score 31,716 Dec 20, 2021 #62 Chinga One said: ........Free Nguza and papii kocha....... Click to expand... Hahaha that's power of pussy
Chinga One said: ........Free Nguza and papii kocha....... Click to expand... Hahaha that's power of pussy
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,637 Reaction score 24,530 Dec 20, 2021 #63 Ubwabwa Mtamu said: Karibu kitaa mchizi wangu Castro Click to expand... Yaani ndio unamkaribisha leo? Miaka yote ulikuwa kumkaribisha?
Ubwabwa Mtamu said: Karibu kitaa mchizi wangu Castro Click to expand... Yaani ndio unamkaribisha leo? Miaka yote ulikuwa kumkaribisha?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,637 Reaction score 24,530 Dec 20, 2021 #64 Viol said: Huyu jamaa nilisoma kwenye gazeti la udaku kwamba waligombana kwa ajili ya dem,,Steve akamfuata getoni kwake akiwa na kisu,katika purukushani za steve kutaka kumchoma jamaa,jamaa akabahatika kumpokonya kisu na kumchoma steve. Click to expand... Marehemu au stive2K mmoja wao alikuwa anaamulia ugomvi wa wengine, kama kifo cha faza nelly wa x plastaz
Viol said: Huyu jamaa nilisoma kwenye gazeti la udaku kwamba waligombana kwa ajili ya dem,,Steve akamfuata getoni kwake akiwa na kisu,katika purukushani za steve kutaka kumchoma jamaa,jamaa akabahatika kumpokonya kisu na kumchoma steve. Click to expand... Marehemu au stive2K mmoja wao alikuwa anaamulia ugomvi wa wengine, kama kifo cha faza nelly wa x plastaz
Capital G JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 3,445 Reaction score 5,366 Dec 20, 2021 #65 Tony Gwanco said: ukiua hata utoke jela maisha yako sio marefu haijarish ulikusudia au bahati mbaya ,mifano ipo mingi sana kwa walio ua kufa mapema Click to expand... Mbona yeye bado yupo chief na hii ni 2021 tunaingia 2022 au maisha mafupi ukitoka jela yanaanzia miaka mingap mpaka mingap?
Tony Gwanco said: ukiua hata utoke jela maisha yako sio marefu haijarish ulikusudia au bahati mbaya ,mifano ipo mingi sana kwa walio ua kufa mapema Click to expand... Mbona yeye bado yupo chief na hii ni 2021 tunaingia 2022 au maisha mafupi ukitoka jela yanaanzia miaka mingap mpaka mingap?
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,501 Reaction score 15,237 Dec 20, 2021 #66 nguvu said: Marehemu au stive2K mmoja wao alikuwa anaamulia ugomvi wa wengine, kama kifo cha faza nelly wa x plastaz Click to expand... Faza nelly ilikuaje na alifariki mwaka gan
nguvu said: Marehemu au stive2K mmoja wao alikuwa anaamulia ugomvi wa wengine, kama kifo cha faza nelly wa x plastaz Click to expand... Faza nelly ilikuaje na alifariki mwaka gan
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,637 Reaction score 24,530 Dec 20, 2021 #67 Dagger-v said: Faza nelly ilikuaje na alifariki mwaka gan Click to expand... Mwaka sina hakika sana ila nahisi 2005, washkaji walikuwa wanagombana kwenda kuamulia bahati mbaya kisu kikampata yeye akadedi
Dagger-v said: Faza nelly ilikuaje na alifariki mwaka gan Click to expand... Mwaka sina hakika sana ila nahisi 2005, washkaji walikuwa wanagombana kwenda kuamulia bahati mbaya kisu kikampata yeye akadedi