@
MziziMkavu hii tiba imewahi saidia mtu, au ndo zile news mitandaoni?
nilisikia kuna HIV ya kutumwa, unakuwa na dalili zote za HIV ukweli hapo>??
pia wanasema spell yoyoye ya ku save life lazima ilipwe kwa ku ofer life ingine, hii spell hain madhara?
Napenda jifunza mengi,