lebianism?
lebianism?
Duu....ina maana yale yaliyokuwa yakisemwa
juu ya huyu mwanariadha nguli yana harufu
ya ukweli...?
Tusiwaongelee watu wa South Africa huku Tanzania tu hapa ukienda vijijini wanawake wamekua wakioa wanawake miaka mingi tu hadi leo inaendelea.
Lebiniasm=lesbianism