Cars for people:

nimeukimbia uzi wa i love this ride,naukuta tena huu,..dah macho hayana pazia ebu niendeshe kwa macho...dah wengine level zetu ni za starlet tena za mkopo na tax exemption juu..looks like bima to me
 
hilo dude la pili limekaa kama maybach...anayejua aniambie linaitwaje...hapo wazee wa poda a.k.a mabwimbwi taita ndo wanaweza kuyamudu hapa daslam,..ferrari bado zinachapa.
 
Haya mavitu makali.
Sema bei ndo utata mtupu.
Hata ivo barabara ya kuendesha 250kph ziko wapi bongo?
 
you give me one for one week and it will be reduced to rumble ........... labda uwe unafanya kazi ya kujisogeza kutoka oysterbay to town centre na kurudi.

Mimi ninayeishi Kerege, shughuli zangu nafanyia Kibaha kwa Mathias, kila mwezi lazima niende Mtimbira - Ulanga twice.

hizi huko huko!!
 
gari hizo ukileta bongo labda uwe unapitisha huko huko masaki na posta, usipeleke kuleeee!!!
 

kaka kuna alternative nyingi tu
 
Lakini mi lile li-project langu la kilimo cha mpunga likikubali ndani ya miaka 5 toka sasa nadhani lazima niagize moja kama hilo, coz hata umri utakuwa hujaenda kiiiivyo, ndo ntakuwa thirty mawio hivi......teh teh
afu bado ntakuwa sijaoa.......
 
Mnatuumiza MOYO wakuu.... Wengine tutaishia kuona tu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…