Carpet used inauzwa

Carpet used inauzwa

Cosmasjulius

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
695
Reaction score
1,024
Carpet lipo tu ndani linapigwa na Vumbi...!! Vipimo ni MITA 3.5 KWA MITA 2 na bei ni 50000tsh unalipiga maji unaanza kulitumia. Yapo mawili so Karibuni sana.

Nichek PM au 0743126103 Nipo Dar.
20200813_141610.jpeg
20200813_141518(0).jpeg
 
Hili kapeti tulikuwa nalo hapa home, ni msala bora ulioshe ukagawe kwa masela wako wapigadebe.
Hiyo sio carpet ya home kwenu...!! Carpet imekaa geto hiyo hakuna kukanyaga ovyoo na miguu michafu kama la familia ya watoto wa la pili.. Mlikuwa mnamwaga na michuzi ya samaki plus mafuta ndo maana.. Hili langu hata ukipitisha mfagio linawakaa mzee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unakaa kwenu unajaza tu choo umasubiri urithi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu mzima na ndevu zako unaleta story za Kwenu???? Huna hata aibuu eti kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Go get life nigger acha ujinga wa kukaa kwenu na uzee huo

Nilitegemea utasema carpet langu...[emoji23][emoji23][emoji23] unamiliki boxer tu kijana habari hizi waachie wenye mali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu mzima na ndevu zako unaleta story za Kwenu???? Huna hata aibuu eti kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Go get life nigger acha ujinga wa kukaa kwenu na uzee huo
Mkuu aya log out umjibu kwa id ya mtoa mada

Nimecheka sna mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu mzima na ndevu zako unaleta story za Kwenu???? Huna hata aibuu eti kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Go get life nigger acha ujinga wa kukaa kwenu na uzee huo
Now nipo kwangu, unataka kuja kupaona?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom