Devid Y amos
Senior Member
- Jul 3, 2014
- 151
- 27
160X230CMMimi nina litaka lina ukubwa gani !!!.
Hapana100k ipo
Bora likae tu baki na 100 yako.

Hu hu hu
Bora nibaki na kiela changu
Hu hu hu
Bora nibaki na kiela changu
,kwahiyo mmeamua kila mtu abaki na chake

Walichoamua kutumia pamoja ni jf ,ha ha ha ha![]()
,kwahiyo mmeamua kila mtu abaki na chake
![]()
![]()
Mkuu samahani kuna kitu nataka unieleze .uliagiza nje ya nchi eeeh au ulinunulia hapa hapa bongoCarpet 165,000/=Limetumika mwezi tu
Size 160X230Cm
Location: Kunduchi
Contact: 0719210905View attachment 1144563View attachment 1144565View attachment 1144566View attachment 1144567
Yap![]()
,kwahiyo mmeamua kila mtu abaki na chake
![]()
![]()

Mkuu samahani kuna kitu nataka unieleze .uliagiza nje ya nchi eeeh au ulinunulia hapa hapa bongo
Ataenda chukua uyo mwenye mia...Yalikuwepo Danube kwenye sale 130k. Laki moja is still reasonable
Hahaaa, wametishaaWalichoamua kutumia pamoja ni jf ,ha ha ha ha
Walichoamua kutumia pamoja ni jf ,ha ha ha ha

Wangekubariana wakakae pamoja ili watumie wote, kwan sh ngap ?maisha yenyew ndo haya hayaHahaaa, wametishaa