Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,788
- 218,418
Acha kubetiKwa kutuchania mikeka afukuzwe kabisa team inapewa 1.17 inapigwa
Umeandika ukweli sana !Jamaa watamvuta yule kocha kinda wa Dortmund maana ndo wanapochuma vifaa vyao
Kuna wengine kubeti ni zaidi ya ibada .Acha kubeti
Msimamo wa timu ni kuwa na vikongwe , hilo unalionaje ?Wampe muda aisuke timu mwakani..
Kuwe na mchanganyiko,wakongwe na vijana,Msimamo wa timu ni kuwa na vikongwe , hilo unalionaje ?