• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Timuatimua ya makocha Ulaya: Napoli yamtimua Carlo Ancelotti

DonDonald

DonDonald

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Messages
2,429
Points
2,000
DonDonald

DonDonald

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2011
2,429 2,000
Timu ya soka ya Napoli ya Italy imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Carlo Ancelotti masaa machache baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano kwenye Champions League.

Ancelotti ambaye ameiongoza Napoli kwa miezi 19, kabla ya kushinda mechi ya jana 4 - 0 dhidi ya Genk ya Belgium, Napoli walikuwa wamecheza mechi tisa zilizopita bila ya kushinda kwenye mashindano yote.

Timu za Everton na Arsenal za Uingereza zinafanya jitihada za kumchukua Ancelotti kuwa kocha wao.

Mchezaji na Kocha wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso anategemewa kuiongoza Napoli kwa mkataba wa miezi 6.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
28,568
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
28,568 2,000
Kazi ya ukocha ni ngumu sana wakati wowote unabebeshwa virago..
 
mwamwala iyunga

mwamwala iyunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Messages
546
Points
1,000
mwamwala iyunga

mwamwala iyunga

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2019
546 1,000
Sasa huu ni uzwazwa Gattuso ndy uchafu gani tena q
Timu ya soka ya Napoli ya Italy imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Carlo Ancelotti masaa machache baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano kwenye Champions League.

Ancelotti ambaye ameiongoza Napoli kwa miezi 19, kabla ya kushinda mechi ya jana 4 - 0 dhidi ya Genk ya Belgium, Napoli walikuwa wamecheza mechi tisa zilizopita bila ya kushinda kwenye mashindano yote.

Timu za Everton na Arsenal za Uingereza zinafanya jitihada za kumchukua Ancelotti kuwa kocha wao.

Mchezaji na Kocha wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso anategemewa kuiongoza Napoli kwa mkataba wa miezi 6.
 
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
2,705
Points
2,000
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
2,705 2,000
Kocha mwingine wa kutimua ni wa ajax

Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,

Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee
 
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
986
Points
1,000
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
986 1,000
Kocha mwingine wa kutimua ni wa ajax

Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,

Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee
Mbon inter imemkumba iyo ukiwa na matokeo 2 yni ushinde au usuruhu nilazima utoke bora uwe n moja ni ushindi tu
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
5,191
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
5,191 2,000
afadhali
 
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
2,705
Points
2,000
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
2,705 2,000
Mbon inter imemkumba iyo ukiwa na matokeo 2 yni ushinde au usuruhu nilazima utoke bora uwe n moja ni ushindi tu
Mkuu inter unaweza kusema barcelona

ila ajax kwa valencia, tena alimpiga kwake kule 3-0

Anashindwa kumpiga nyumban kabisa hata draw inamshindaSent using Jamii Forums mobile app
 
THE BREED

THE BREED

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Messages
992
Points
1,000
THE BREED

THE BREED

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2019
992 1,000
Super carlo namuona amesimama kama sanamu vile pale arsenal!!!
 
4

4by94

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
313
Points
250
4

4by94

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2019
313 250
Usimlaumu timu ameitoa shimoni yaan kuanguka ni sehemu ya safari ukizingatia jamaa hajasajili wa hana wachezaji ghali duniani Bali kawalea yy ndio mnakuja kuwajua Leo so kumfukuza kocha wa Ajax ni kama wanataka kujirudisha shimoni yaani level za PSV na Az alkamaar
Kocha mwingine wa kutimua ni wa ajax

Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,

Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,405,217
Members 531,945
Posts 34,481,033
Top