Carina Ti inauzwa

Carina Ti inauzwa

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
Gari aina ya Toyota Carina TI inauzwa Tshs 4,950,000 tu. Ina cc 1490, manual transmission for more details just call 0713 234224

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Picha; mileage; ya mwaka gani; etc etc
 
ImageUploadedByJamiiForums1409205211.958775.jpg

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Mtoa mada hauko serious, Gari inapigwa picha pande zote, na ndani. then unatoa specification zilizojitosheleza.
 
Mtoa mada hauko serious, Gari inapigwa picha pande zote, na ndani. then unatoa specification zilizojitosheleza.

Mtandao unasumbua sana kwenye ku upload picha walioko serious wanaweza wakanicheki whatsapp niwatumie picha zote

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Mpaka leo haijapata mteja?
Mbona kama nakumbuka iliisha postiwa hii mkuu.
TI ya enzi za Mwalim.
Hembu weka picha zandani labda naweza kuiweka Texii nikawa nakula 50,000 zangu kwa wiki
 
we mleta tangazo kuwa kidogo wazi, kwani humu ni nyumba ya great thinkers, vipicha ulivyoweka kama gari unaiba bana. manual ndo imenivutia mwaga mapicha picha aseee faster
 
Mpaka leo haijapata mteja?
Mbona kama nakumbuka iliisha postiwa hii mkuu.
TI ya enzi za Mwalim.
Hembu weka picha zandani labda naweza kuiweka Texii nikawa nakula 50,000 zangu kwa wiki

Hapana mkuu sio hiyo uliyoiona hii ni nyingine kabisa

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Osaba wewe sio mgeni wa JF,
Weka picha zote hapa wengine mambo ya whatsup nigga hatuyajui wala hatumo na Kama walivyouliza wengine hapo juu
Hembu tupe mwaka wake na Mileage zake.
Hizi gari za aida hii roho yapaka,ikifika hesabu niliyonayo naweza kuitia taxi kiziwi
 
mzee utahasira,hapo nimekukubali,wenye hashuo la kutaka picha wote kimyaa kama mie.
Ufupi gari nzuri na bei nzuri ila fikiria 3 with points,maana manual inakuwa issue pia
 
Ni la mwaka gani ? na limetembea umbali gani ?

Ni ya mwaka 1998, imetembea km 170000, injini iko bomba sana unafika popote, na mafuta inanusa tu

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Back
Top Bottom