Mkuu, kama ni diehard fan wa Carina, nakushauri go for Ti. Running costs zake ni ndogo sana kuanzia ulaji wa mafuta, spare parts na comfortable. Kwa muonekano hazina utofauti na Si.