Huwa nakutana na hili swali mara nyingi, kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki. Huwa nalijibu kwa maswali mawili, maybe yanaweza kusaidia
1. Kama unatafuta kipato kwanzo, what are you doing differently? Maana wengi tunasema natafuta kipato kwanza lakini hakuna cha ziada unachofanya zaidi ya kuamka asubuhi kwenda kazini kurudi jioni. The same thing day after day.
Kama umeamua kupambana kwanza, pambana kweli basi, la sivyo you are just wasting time.
2. Una malengo gani? Mostly in terms of time. Yaani, wewe upo tayari kusubiri mpaka umri gani? Then unafanya nini in the mean time.
Usually muda wa kuwa na familia ni maamuzi ya mtu. Lakini vile vile hutaki mtoto wako akuite babu or bibi.
Weka clear malengo, kama ni kujenga maisha kwanza, jua ni maisha gani unayo yataka uyapate kabla ya maisha? Unafanya nini kuyapata?
Kuna situations ambazo kuwa na familia inakupa motivation ya ku move forward. Au partner wako akawa msaada mkubwa kwenye maendeleo yako badala ya kupambana mwenyewe.