Cardi B vs Nicky Minaj

hurrem_sultana

Senior Member
Sep 6, 2018
136
361
Baada ya jana Cardi B kuchezea kichapo inaonekana bifu kati ya wawili hawa sio la kuisha leo wala kesho.

Nicky Minaj alidumu kwenye game kwa muda mrefu bila upinzani sasa kampata mpinzani wa kweli anawashwa washwa.

Kwanza album yake ni mbovu mnoo lazima apanic. Iggy Azalea karudi nae kwa kasi ya ajabu

 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom