Car Mechanic Simulator Game 2014

Car Mechanic Simulator Game 2014

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,315
Kwa wapenzi wa simulator games, Car Mechanic Simulator game ni moja kati ya magem bora ya magari coz linakupa vursa ya ww kushika spana na kuanza kulitengeneza then kuendesha kila aina ya magari baada ya kuyatengeneza nimejaribu kulidownload nikamaliza nikainstall sasa kwenye kulifungua limegoma nahis ni kutokana na specs za kalaptop changu. Linaplay kweny computer kuanzia 2GB Ram, 2 Dual core na HHD iwe na space atleast 2GB. jaribuni kulitafuta mmtupe feedback. Hizo ni baadhi ya snapshot za hilo game
 

Attachments

  • CarMechanicSimulator01.jpg
    CarMechanicSimulator01.jpg
    154.3 KB · Views: 111
  • carmechanicsimulator23.jpg
    carmechanicsimulator23.jpg
    72.6 KB · Views: 100
  • images.jpg
    images.jpg
    9.4 KB · Views: 78
Back
Top Bottom