Car for sale corolla 100

Car for sale corolla 100

gwanduz

New Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Nauza gari corolla milioni mbili na laki mbili inatembea ila inahitaji marekebisho kdg mwenye kuhitaji anipigie 0655153151 dalali hatakiwi
 
Weka picha. Ina namba gani? Road licence na bima vipo hai?
 
Matengenezo madogo kivipi mkuu. Inaweza kuwa ni kubwa ila kwako inaonekana ndogo,taja aina ya matengenezo tujue bei
Nb. Plus pic
Nb 2. Plus tuambie imelipiwa mwisho lini motor vehicle
 
Nafurahi sana kusikia Dalali hatakiwi.
Ukienda kununua unaona msururu kibao kumbe muuzaji mwenyewe dalali
 
Haya matangazo ya biashara bila picha yanakera sana jamani, kwa nini hatujifunzi...!!?
 
Back
Top Bottom