CAR DIAGNOSIS & CODES READING

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,956
Reaction score
102,045
Tunatoa huduma ya Diagnosis ya Gari kwa bei ya Tsh 20,000 tu.

Huduma itakua na moja au yote kati ya haya:

1. Read and Clear Check Engine Lights.
2. Read and Erase ABS & SRS trouble codes.
3. Reset Oil Light.
4. Reset Battery Maintenance Light & Initialization.
5. Stream, Record and graph real-time Live Data.

Pia tutakupatia report kamili ya gari yako (baada ya masaa 4 kwa e-mail au kuletewa hard copy) kama utahitaji, kwaajili ya reference na kupeleka kwa mechanic.

Gari sio lazima liwe linatembea ila liwe tu na uwezo wa kukwekwa Ignition ON na liwe na Port ya OBDII (nyingi zipo chini ya stering, ni female port pin 16).

Tupo Ubungo ila kukufuata tutaongea tuone kama ina maslahi.

Piga namba 0758095750
 
Kweli sitanii. Ninayo hiyo mashine imekaa tuu inaota vumbi. Nipo tayari kuwasaidia wenye shida. Lkn anayetafuta shari na mimi naomba apitie signature yangu
 

Watu wa mikoani unawasaidiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…