nadhani auto watch ni nzuri, bei max ni 180000 (pamoja na kufunga). Kariakoo ule mtaa wanapouza speaker na radio za magari (mtaa unaoenda kukutana straight na barabara ya umoja wa mataifa) kuna maustaadh fulani hufunga. Pata fundi mzuri unapoweka alarm, maana ukimpata kilaza anaweza kukuunguzia gari, hasa umeme wa gari ukiwa coplicated.