adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,946 Reaction score 5,382 Feb 4, 2013 #1 hebu ipe caption hii picha Attachments ndugai na tundu lissu.JPG 51.2 KB · Views: 517
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Feb 4, 2013 #2 "Huo ubabe wako, unaringia magamba wenzio enhe?"
kichwat JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 1,819 Reaction score 593 Feb 4, 2013 #3 Lisu: hivi wewe kweli unajua kwamba elimu ni kuelimika na sio kukaa darasani au kupata cheti? Ndugai: nakwambia na mimi nimesoma bwanaaa, nna vyetiii. hapo tusitishane.
Lisu: hivi wewe kweli unajua kwamba elimu ni kuelimika na sio kukaa darasani au kupata cheti? Ndugai: nakwambia na mimi nimesoma bwanaaa, nna vyetiii. hapo tusitishane.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Feb 5, 2013 #4 Acha kutugandamiza
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Feb 5, 2013 #5 Wewe kiti kimekushinda bwana mdogo.
J john hotsam da1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 396 Reaction score 79 Feb 5, 2013 #6 lissu:mzee nitakupasua wewe ndugai:kausha kamanda sirudii tena
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Feb 5, 2013 #7 Mch. Msigwa yuko kishari zaidi, kama vile anasema: Si mpigane bwana yaishe....!
R Ruvuman Senior Member Joined Oct 13, 2012 Posts 128 Reaction score 120 Feb 5, 2013 #8 adakiss23 said: hebu ipe caption hii picha Click to expand... Stop playing with people's power man ! Do you know you are being used against us BUT soon you will be dumped ?
adakiss23 said: hebu ipe caption hii picha Click to expand... Stop playing with people's power man ! Do you know you are being used against us BUT soon you will be dumped ?
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,946 Reaction score 5,382 Feb 5, 2013 Thread starter #9 Ruvuman said: Stop playing with people's power man ! Do you know you are being used against us BUT soon you will be dumped ? Click to expand... waaaaat! Nmesema nini kibaya hapo?? Usinitafutie ban Ma.laya Mzee wewe Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ruvuman said: Stop playing with people's power man ! Do you know you are being used against us BUT soon you will be dumped ? Click to expand... waaaaat! Nmesema nini kibaya hapo?? Usinitafutie ban Ma.laya Mzee wewe Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,655 Reaction score 3,483 Feb 5, 2013 #10 Lissu: Unajua wewe mh Ndungu hai ni bonge ya lafa? Ndungu Hai: Aaaaaaaaaaaa mh Lissu,siyo mambo hayo,mi lafa? nitakupiga Ban usiingie tena mjengoni
Lissu: Unajua wewe mh Ndungu hai ni bonge ya lafa? Ndungu Hai: Aaaaaaaaaaaa mh Lissu,siyo mambo hayo,mi lafa? nitakupiga Ban usiingie tena mjengoni
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,478 Reaction score 392 Feb 5, 2013 #11 Ni kama Lisu anasema "ntakuja kukuzaba makofi wewe, hunijui tu"
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Feb 5, 2013 #12 Royals said: Ni kama Lisu anasema "ntakuja kukuzaba makofi wewe, hunijui tu" Click to expand... :becky: :becky: :becky: :becky: ...
Royals said: Ni kama Lisu anasema "ntakuja kukuzaba makofi wewe, hunijui tu" Click to expand... :becky: :becky: :becky: :becky: ...
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,459 Reaction score 1,371 Feb 5, 2013 #13 Dotworld said: :becky: :becky: :becky: :becky: ... Click to expand... Aliyepiga picha hii anastahili tuzo!
Dotworld said: :becky: :becky: :becky: :becky: ... Click to expand... Aliyepiga picha hii anastahili tuzo!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Feb 5, 2013 #14 aaaah lisu bwana!basi yaishe,mi nimekiri kuwa nimefanya kosa naomba mnisamehe bwana!
R Ruvuman Senior Member Joined Oct 13, 2012 Posts 128 Reaction score 120 Feb 5, 2013 #15 This was not intended for you. It is a caption ! Its Lissu saying not you brother. Sorry for the upset !
This was not intended for you. It is a caption ! Its Lissu saying not you brother. Sorry for the upset !