Mmmh, ama kweli maisha ni sawa na maua asubuhi huchanua na kupendeza sana na jioni hunyauka na kisha kufa!!....Hatukusikia hata kama aliugua, lakini ymtunasikia kifo chake tu!!
Laiti km wafu wangekuwa wanafufuka, huyu bwana ni mjumbe mzuri wa kutoka kuzimu kuwaletea CCM ujumbe wa ukweli wa kifo chao kwa ujumla kwa sbb labda ujumbe ukiletwa na huyu aliyekwisha onja mauti, basi wataamini kuwa kifo chao cha kisiasa ni dhahiri!
RIP Capt. John Komba!