ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,430
- 88,520
How?Mfaransa ni imperialist hadi kero
yaani wewe ni kilaza sugu. Lugha imekupiga chenga umeishia kuandika vitu vya ajabu tu. ungeomba hata utafsiriwe kwa kiswahili pengine ungeandika jambo la maanaHuyu dogo wa Burkinafaso bangi na ujana vinakusumbua yaani ana mihemko ya umri.
Yaani mtumwa Uasi harafu utake kuonewa huruma? Hizo ni bangi za Burkinabe ni Kali kuliko za Arusha.Mtumwa ukiasi stahiki Yako ninkitanzi.
Putin na Wagner acheni kuharibu Vijana Wetu,huyu dogo analaumu Wazungu na Viongozi wa Afrika kwamba ni ma pappets wa Wazungu wakati na yeye anafanya vile vile kuwa pappet wa Russia.
Mpaka hapo anapata wapi jeuri ya kuponda wenzie? Mihemko kama hii ndio ilifanya kina Sankala,Lumumba na wengineo kupotea kwenye uso wa Dunia.
My Take
Dogo atulie aache mihemko, watu wanahitaji ustawi wa Maisha yao sio misemo na nahau, atakuja kufanywa vibaya.
🤣🤣🤣🤪 Toa ujinga wako hapa ,nikajua umeleta tafsiri Yako kumbe pumba tuu na hujui kituyaani wewe ni kilaza sugu. Lugha imekupiga chenga umeishia kuandika vitu vya ajabu tu. ungeomba hata utafsiriwe kwa kiswahili pengine ungeandika jambo la maana
Africans need’s people with his face to overthrow black colonialists and their puppets.Huyu dogo wa Burkinafaso bangi na ujana vinakusumbua yaani ana mihemko ya umri.
Yaani mtumwa Uasi harafu utake kuonewa huruma? Hizo ni bangi za Burkinabe ni Kali kuliko za Arusha.Mtumwa ukiasi stahiki Yako ninkitanzi.
Putin na Wagner acheni kuharibu Vijana Wetu,huyu dogo analaumu Wazungu na Viongozi wa Afrika kwamba ni ma pappets wa Wazungu wakati na yeye anafanya vile vile kuwa pappet wa Russia.
Mpaka hapo anapata wapi jeuri ya kuponda wenzie? Mihemko kama hii ndio ilifanya kina Sankala,Lumumba na wengineo kupotea kwenye uso wa Dunia.
My Take
Dogo atulie aache mihemko, watu wanahitaji ustawi wa Maisha yao sio misemo na nahau, atakuja kufanywa vibaya.
Wakipindua hao black colonialists wanajiweka wao ma black pappets wa Russia au?Africans need’s people with his face to overthrow black colonialists and their puppets.
Wataweka BinAdam yeyote mwenye maadili ya kuwa kiongozi wa kuendesha nchi zao na sio Cleptocrats walioko sasa hivi AfricaWakipindua hao black colonialists wanajiweka wao ma black pappets wa Russia au?
We will believe you and salute you once we know that Russia is not pulling the strings Aluta ContinuaDogo ana misemo Mingi sana kuliko kutenda kazi 😂😂
UpuuziWe will believe you and salute you once we know that Russia is not pulling the strings Aluta Continua
Waafrika ndiyi binadamu pekee waliochuuzwa kama mifugo. Lakini bado utakutana na baadhi wanaotamani kuendelea kuchuzwaAsikilizwe ana hoja
Upuuzi wako wewe na kizazi chako cha kitumwaUpuuzi
Hapana usiwaonee Wazungu wanaotesa Tanzania ni Watanzania wenyewe hakuna hata mzungu mmoja anahusika na huo upumbavuBurkina watupe inspiration. Na sisi tuaoteswa na madalali wa wazungu wanaojiita viongozi tukiamshe