thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Kuna mbadala wake tani 3.5 ni Isuzu Elf ipo kwenye hali nzuri yaweza kwenda sehemu yeyote nchiniMwenye gari iliotajwa hapo juu,
Linahitajika kwa ajili ya kununuliwa, liwe kwenye hali nzuri, linaweza kwenda sehemu yoyote hapa Tanzania bila tatizo lolote.
Bei maelewano
Uko wapi MkuuKuna mbadala wake tani 3.5 ni Isuzu Elf ipo kwenye hali nzuri yaweza kwenda sehemu yeyote nchini
Mafilili Uko wassap nione hali yake?Kuna mbadala wake tani 3.5 ni Isuzu Elf ipo kwenye hali nzuri yaweza kwenda sehemu yeyote nchini
0659332272Nipo dar, MBAGALA MAJI MATITU, TUMA namba nikutumie WhatsApp baadae
Mkuu kwa Sasa npo mikoani 0659332272Nipo dar, MBAGALA MAJI MATITU, TUMA namba nikutumie WhatsApp baadae
Sawa nitakutumiaMkuu kwa Sasa npo mikoani 0659332272
Mbona kimya?Sawa nitakutumia
Samahani mkuu, leo nitakutumiaMbona kimya?
Itakua mzigo mkuu,otherwise hakuna tipper ya kubeba mchanga singida mpaka mwanza.Canter ipi mkuu unahitaji ya mizigo au tiper ya mchanga
Yeye mwenye kuhitaji ndio aseme kiongoziItakua mzigo mkuu,otherwise hakuna tipper ya kubeba mchanga singida mpaka mwanza.