wadau nauza canter Tani moja na nusu kwa bei chee sana,
imetembea kilometer 46,000 tu! na namba ni CRN ina muda mchache
sana tokea ifike tanzania na imetumika muda mchache sana.
Ina ki kitu na AC inafanya kazi...
Bei inaanzia mil 20, kwa muhitaji anitafute