..when a man loves a woman deep down his soul she can bring him such misery...
If she's playing him for a fool, he's the last one to know..LOVING EYES CAN NEVER SEE
ukipenda unaona but unakubali kuona na kukubali unachokiona!
kwa mtu asiyependa huishia kutazama hawaoni!

I love what l see!
But l choose what to see and what not to see, and it doesn't mean that l am blind!
kaka mkubwa heshima kwako.
kwanza kabisa when we say love eyes never see huwa tunamaanisha kwamba jicho la kuona huwa halion mapungufu ya apendwae.
it is true that if you see every thing by its color huwez kumpenda unayempenda manake waweza kukuta dosari ndogo sana na ikakurudisha nyuma but , kinachotokea ni kwamba jicho la nyama huona hata ubaya wa mwenza wako ila jicho la moyoni husema hii siyo big deal as utaweza kumanage upungufu huo.
labda nikupe mfano, mkeo sio mwanamke mzuri kuliko wanawake wote duniani hadi ukamuoa wala hakuwa mwanamke aliyekamili kuliko wote hadi ukamchumbia ila ni mwanamke pekee aliyeuteka moyo wako kiasi kwamba hukuona mwingine anayeweza kukufanya ukawa kamili ila yeye.
babu kama sikosei alichoandika fellow rev mother wangu hakina tofauti na nilichoandika mimi!Hapa umetuchanganya na lugha Kaunga,
Hebu tufanyie digestion kidogo ili tukupate....
Yaani unamaanisha kuwa macho yako yana control tower ambayo inayachagulia uelekeo na target??
Babu DC!!
Hapa umetuchanganya na lugha Kaunga,
Hebu tufanyie digestion kidogo ili tukupate....
Yaani unamaanisha kuwa macho yako yana control tower ambayo inayachagulia uelekeo na target??
Babu DC!!
babu kama sikosei alichoandika fellow rev mother wangu hakina tofauti na nilichoandika mimi!
tukipenda tuona,tunachagua cha kuona na tunakubali kuona tunachokiona na mwisho tunapenda kile tunachokiona!
Mpaka kuwa naye maana yake nimempenda (I love what l see)
Pia nina machaguo ya kuamua nione sana nini au nisione nini, ninaweza nikaona SANA ucheshi wake na kuamua kuacha kuona ucareless wake. As binadamu ukichagua kuONA kitu chochote utakiona kwani unakikuza (magnify) kwa lenzi. Kuwa na machaguo ya nini unataka kuona si upofu bali ni degree kubwa sana ya VISIBILITY.
SnowBall kuja uone hapa thread ako klozed! Kaunga enh!sasa mi naachaje kukupa bichwa sasa!?Mpaka kuwa naye maana yake nimempenda (I love what l see)
Pia nina machaguo ya kuamua nione sana nini au nisione nini, ninaweza nikaona SANA ucheshi wake na kuamua kuacha kuona ucareless wake. As binadamu ukichagua kuONA kitu chochote utakiona kwani unakikuza (magnify) kwa lenzi. Kuwa na machaguo ya nini unataka kuona si upofu bali ni degree kubwa sana ya VISIBILITY.
....it is true that if you see every thing by its color huwez kumpenda unayempenda manake waweza kukuta dosari ndogo sana na ikakurudisha nyuma but , kinachotokea ni kwamba jicho la nyama huona hata ubaya wa mwenza wako ila jicho la moyoni husema hii siyo big deal as utaweza kumanage upungufu huo.
labda nikupe mfano, mkeo sio mwanamke mzuri kuliko wanawake wote duniani hadi ukamuoa wala hakuwa mwanamke aliyekamili kuliko wote hadi ukamchumbia ila ni mwanamke pekee aliyeuteka moyo wako kiasi kwamba hukuona mwingine anayeweza kukufanya ukawa kamili ila yeye.
SnowBall, mapenzi ni upofu pale umpendapo mtu kwa dhati hivyo inakuwia vigumu kuona kwingine,
yaani hautaweza kuona kwingine zaidi, utabaki kumpenda yule umpendae na hivyo kuwa kama kipofu.
Upofu unaosemwa sio upofu wa kutokuana bali ni upofu wa kuto kupendapenda ovyo.
Hiyo concept ya mwanamke/mwanamume pekee inanipa taabu kidogo...
Sijui kama variables nyingine kama vile location, time, uchumi na kupigika vimeingizwa kwenye equation...lol!!
Babu DC!!
and thats a very high degree of my visibility sio!santeeee!Ni Maoni yangu tu, naweza kuwa wrong; hivyo mjadala unafaa uendelee! You are always sweet, you know that; maana siku zote unachagua kuona vitu vizuri tu kwangu na kuyaignore madudu yangu kibao!