Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,198
- 11,631
Mkuu nafanya biashara ya photocopy machine kuanzia enzi za models za NP ulikua umezaliwa?
Unaweza kuwa mfanyabiashara wa muda mrefu lakini ukawa upo upo tu mimi ninachokueleza ni uhakika bei yako ipo juu unaweza kupata model hiyo kwa kiasi nilichokueleza na si sehemu moja tu bali hata pale VETA changombe, Magomeni kwa Asenga, kwa Mudy hiyo ndiyo bei ya soko.
Mimi binafsi ni mfuatiliaji sana wa hizo mashine kwani na miaaka zaidi ya kumi kwenye mambo ya stationery na nilianza na hizo NP 1215, nikaja hikachukuwa hiyo IR 1600 mwaka jana na mwaka huu nimechukuwa IR 2020.
Hata ukitaka hiyo NP 1215 ninayo mpaka leio na inapiga kazi safi ntakupa hata buree.