Canon ir1600 for sale(used)

Canon ir1600 for sale(used)

Nantes

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
544
Reaction score
144
Nauza hiyo mashine kwa sh 1m tu,kwa anayehitaji ani pm
 

Attachments

  • canon ir1600-1.jpg
    canon ir1600-1.jpg
    40.3 KB · Views: 169
  • canon ir1600.jpg
    canon ir1600.jpg
    35.1 KB · Views: 135
Ina matatizo yoyote au inafanya kazi bila shida ?
 
Hiyo inatoa copy 16ppm na inauwezo wa kuprint.
Bei yako ipo juu sana mashine kama hiyo ipo pale town pamoja na warant 750,000
 
Hiyo inatoa copy 16ppm na inauwezo wa kuprint.
Bei yako ipo juu sana mashine kama hiyo ipo pale town pamoja na warant 750,000
tuelekeze town sehemu gani?
 
Watu wanoko mtu katangaza biashara yake wewe unaanza kuelekeza ilipo kwengine... fungua uzi wako uelekeze sehemu zote zinazouzwa vitu..roho mbaya ndio hizo ukisikia....
 
Watu wanoko mtu katangaza biashara yake wewe unaanza kuelekeza ilipo kwengine... fungua uzi wako uelekeze sehemu zote zinazouzwa vitu..roho mbaya ndio hizo ukisikia....

Kwani lipi baya alilofanya hapo?acheni wizi wa mchana kweupe IR1600 haina hadhi ya kuuzwa 1M.
 
Unahisi watu wamekurupuka tu katika hii biashara,nauza photocopy machines for years,funga domo lako kama huna cha kusema

kama unahitaji canon ir 2016-new- njoo uchukue kwa 1.2m. tuakupa na spare toner 1 bure
 
Nimeshasema sijaanza biashara ya photocopy machine jana,nimeshauza tayari kwa bei niliyotaka,

Huyo aliye nununu atakuwa kilaza sana otherwise uniambie ulipunguza bei
 
Huyo aliye nununu atakuwa kilaza sana otherwise uniambie ulipunguza bei
Mkuu nafanya biashara ya photocopy machine kuanzia enzi za models za NP ulikua umezaliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom