Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Mkuu nitaweka kesho kukicha au tembelea ukurasa wetu wta CANAL + EAST AFRICA kwa picha na maelezo zaidi.Weka picha Mkuu
sent by Samson Cyper
Weka picha Mkuu
sent by Samson Cyper
Hiki kifaa nakitaka sana hapo kigoma unapatikana sehemu gani? unaweza ukatuwekea namba yako ya simu maana nipo Dar ila ofisi yangu inawawakilishi kigoma wanaweza ninunulia huko,na je malipo kwani lazima kulipwa kwenu si unaweza lipia kwa account ya MTN kupitia mpesa? Fafanua hayo mkuuHabari za muda huu wapendwa ?
King'amuzi cha canal + ni moja ya king'amuzi kinachopendwa sana na wafanyabiashara wanaoonesha mpira kwa kuwa gharama zake ni nafuu na pia njia ya malipo ni ya uhakika wala hakuna mambo ya ujanja ujanja,
Makao makuu ya canal + ni ufaransa na kama ilivyo kawaida lugha maalumu ni kifaransa pekee,
Beam ya canal + inafika kwa uhakika katika nyuzi ASTRA 22 e au chini ya SES 4 ambapo zuku inapatikana au tumia tp hizi 12530 v 27500 ili kupata uelekeo sahihi wa Canal + ,
Wakala mkuu ni Shakur Dunia Salutwe kwa upande wa Tanzania na ofisi ipo kigoma mjini pia unaweza kutupata facebook kwa ukurasa wetu wa CANAL + EAST AFRICA kwa kujiridhisha zaidi.
Chaneli za michezo ni 4 ambazo ni canal sport 1,2,3 na 4 hapo utapata UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA EUROPA LEAGUE, PREMIER LEAGUE,LA LIGA, FRENCH LEAGUE 1 na bado kuna utaratibu wa kuongeza EFL CUP, FA CUP na COPA DERLAY ,
Malipo ni 50000/= pekee baada ya ofa ya mwezi wa kwanza kuisha!!.
Karibu CANAL +
Hiki kifaa nakitaka sana hapo kigoma unapatikana sehemu gani? unaweza ukatuwekea namba yako ya simu maana nipo Dar ila ofisi yangu inawawakilishi kigoma wanaweza ninunulia huko,na je malipo kwani lazima kulipwa kwenu si unaweza lipia kwa account ya MTN kupitia mpesa? Fafanua hayo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro?Kigoma tupo Kigoma mjini na unaweza kutupa Bandarini Kigoma na Pia jengo la Shirika la Nyumba ofisi ya mkoa na Mwanga Mwembe togwa maeneo ya Break Point.
mawasiliano:-
0743285002 Voda - Bugoma Suleyman
0767489899 Voda whatsup- Shakur D. Salutwe
0626489899 Halotel
0788489899 Airtel
0658489899 tigo